"wine n kinywaji chenye faida sana mwilini ambacho hakina madhara japokuwa watu watasema hakuna kitu chenye madhara lakin wine itakupaga nguvu sana pale ambapo itafanya kazi ya kuongeza damu"-carlos maga,c.e.o wa CARLOS WINE PRODUCT
katika ukanda wa tabora carlos wine product ipo kila sehemu ya burdani hapa tabora