JE........? UNAJUA NINI KINACHOENDELEA NYUMA YA PAZIA KWENYE MCHEZO WA FAINALI YA MARUDIANO?

 

Vurugu ilibuka baada maafisa kadhaa wa simba kuwakuta viongozi hawa wa RS BERKANE kwenye chumba cha waamuzi walikuwa wanafanya nini hapo?? 

simba hawakufurahishwa na maamuzi ya mwamuzi wa kati pamoja na wasaidizi wake

swali nije shida ipo kwa nani wamuzi wa mchezo 

1.kwa kutoenda kuangalia marejeo ya picha ya baada ya muamuzi kutoa kadi nyekundu?

2. Au kwa viongozi wa CAF

3.Na ni kwanini uwanja ulibadilishwa na wakati ulikuwa upo salama kwa matumizi ya mchezo wa fainali ya marudiano