KOZI MAALUMU YA WAAMUZI TARAJALI - CHUO CHA ARDHI TABORA CHINI YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)



 Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) chini ya shirikisho la mpira miguu duniani (FIFA) limeanza kutoa mafunzo ya waamuzi tarajali katika chuo cha ardhi tabora kwa wanchuo na baadhi ya wananchi wanaoishi mkoani humo .....Hii ni kwa ajili ya kuwajengea na kuwatengenezea fursa mbadala vijana mbali na fani wanayosomea ili waweze kuishi vizuri katika jamii ....pia lengo la pili la kuanzisha kozi hiyo ni kwa ajli ya kuendeleza soka la mpira wa miguu na kusimamaia vilivyo sheria 17 za mpira wa miguu kama waamuzi...kozi hiyo inaenda sambamba na kaulimbiu isemayo "SOKA BILA WELEDI NI CHANGAMOTO" vilevile kozi hiyo ina ujumuisho wa mafunzo ya "NADHARIA ,VITENDO,NA UTIMAMU WA MWILI"

     kwa ufupi kozi itachukua takribani miezi miwili ili kutamatika ikiwa  ilianza tarehe 20/06/2023 mpaka 20/08/2023....na baada ya mafuzo hayo waamuzi tarajali watapewa vyeti vyao kama  utambulisho katika jamii wanayoishi....kozi ina jumla ya wanafunzi wasiopungua 150 ...na wakufunzi wasiopungua watano mmoja wa nadharia na wanne kwa ajili ya vitendo na utimamu wa mwili wakiwa ma active refferees 

Prepared by KIF....Official 

mobile phone:0718491426/0621376348