MH.RAIS LUCAS MRUMBE KAFANYA ZIARA FUPI KATIKA MAJIMBO MBALIMBALI

 Baada ya kuchaguliwa na kupewa kibali na wanachuo wa chuo cha ardhi tabora kilichopo mkoa wa tabora Mh.luca mrumbe alitembelea majimbo mbalimbali katika kurudisha shukrani za dhati  kwa wanachuo wa chuo cha ardhi tabora ambapo alikutana na watu mbalimbali waliokuwepo kweny majimbo hayo.na jimbo ambayo aliyafanyia ziara ni kitoma,cheyo B- au watoto wa mzee martin,jimbo la makontena ambalo lipo mta wa TAWA street ..... na majimbo mengi aliyo fanyia ziara pichani ziara fupi aliyofanya kwenye jimbo la rafiki yake mpedwa ambaye alikwa mpizani mkubwa kweny riadha za uchaguzi wa urais katika chuo cha ardhi tabora

                                                              picha imepigwa na kulwa mkosamali
 Ziara nyingine aliyofanya ni kutembelea katika jimbo la kitoma pichani ni mh.rais lucas mrumbe akiwa na wanachuo wa jimbo la kitoma


 pia mh.rais lucas mrumbe akiwa pichani akiwa kweny ziara yake katika ngome za wakongwe wa jimbo la 99 ambalo sasa ni maarufu kama watoto wa mzee martin pichani ni mh.rais lucas mrumbe na wanachuo wa jimbo la watoto wa mzee martin


Ziara ya mh.rais imendelea ambapo ilikuwa ziara endelevu katika majimbo mbalimbali yanapatikanayo hapa katika chuo cha ardhi tabora ambapo kikubwa wake yamenzunguka chuo cha ardhi tabora .umuhimu wa ziara hizi mi kuwa kukuza uhusiano kati ya wanachuo na serikali ya sasa ya ya mh.rais lucas mrumbe kwa sababu kila kitu ni upendo kweny dunia ya sasa.... hivyo basi mh.rais lucas mrumbe anajenga uhusiano mkubwa sana na wanacguo ili kufika pale ambapo chuo kinabidi kifike kwa namna moja au nyingine na pichani  baadhi ya picha zikionesha ziara za mh.rais lucas mrumbe ambapo ni ziara za awamu ya pili ..... picha ziliandaliwa na kulwa mkosa mali....

 picha hapo juu ina muonesha mh,rais lucas mrumbe akiwa katika jimbo la TEKU

 

picha ya hapo juu ina muonesha mh.rais lucas mrumbe akiwa na wanachuo wajimbo 99
picha ya hapo juu inamuonesha mh.rais lucas mrumbe akiwa katika jimbo la  SALOME
picha ya hapo juu inamuonesha mh.rais lucas mrumbe akiwa na wanachuo wa jimbo la kwa MLEMA

taarifa hii imendaliwa na shomy gamer-0787701256

DON'T COPY THIS .............kwa taarifa zaidi tutafute kwenye mitandao ya kijami

 instagram- yassinshom22

twitter- yassin shomari

whatsapp-0787701256

facebook- yassinshom22